Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, January 1, 2017

GEORGINIO WIJNALDUM AWAPA ZAWADI YA MWAKA MPYA MASHABIKI WA LIVERPOOL


Georginio Wijnaldum akipongezwa na wenzake mapema dakika ya 8 leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu England, EPL. Liverpool wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Man City na ushindi huu unawapandisha Liverpool nafasi ya pili wakiwa na alama 43 nyuma ya alama 6 kutoka kileleni kwa Vinara Chelsea ambao wana alama 49. City wao wamebaki nafasi ya 3 wakiwa na alama 39.