Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, December 3, 2016

TUZO ZA UBORA DUNIANI WAGOMBEA 55 WATANGAZWA LEO

FIFPro, Chama cha Kutetea Haki za Wachezaji Soka wa Kulipwa Duniani, pamoja na FIFA wametangaza Listi ya Wachezaji 55 ambao watawania kuwemo kwenye Kikosi cha Wachezaji 11 wa Timu Bora Duniani kwa Mwaka 2016 ambacho kitatambulika kama FIFA FIFPro World11 2016.


Kikosi hicho Bora kitapatikana kutokana na Kura za Wachezaji wenyewe ambao ni zaidi ya 25,000 Wanachama wa FIFPro kutoka zaidi ya Nchi 75 Duniani ambao kila Mtu huchagua Kipa Mmoja, Mabeki Wanne, Viungi Watatu na Mafowadi Watatu.

Kikosi Bora hiki kitatangazwa rasmi hapo Januari 9 huko Zurich, Uswisi kwenye Hafla maalum ambayo pia Tuzo mbambali za Wachezaji Bora akiwemo Mchezaji Bora Duniani kwa Mwaka 2016 atatajwa.

LISTI YA WACHEZAJI 55 WAGOMBEA WA KIKOSI BORA:

GoalkeepersMAKIPA (5): Claudio Bravo (Chile/FC Barcelona/Manchester City), Gianluigi Buffon (Italy/Juventus), David de Gea (Spain/Manchester United), Keylor Navas (Costa Rica/Real Madrid) na Manuel Neuer (Germany/FC Bayern Munich).

MABEKI (20): David Alaba (Austria/FC Bayern Munich), Jordi Alba (Spain/FC Barcelona), Serge Aurier (Côte d’Ivoire/Paris Saint-Germain), Héctor Bellerìn (Spain/Arsenal), Jérôme Boateng (Germany/FC Bayern Munich), Leonardo Bonucci (Italy/Juventus), Daniel Carvajal (Spain/Real Madrid), Giorgio Chiellini (Italy/Juventus), Dani Alves (Brazil/FC Barcelona/Juventus), David Luiz (Brazil/Paris Saint-Germain/Chelsea), Diego Godín (Uruguay/Atlético Madrid), Mats Hummels (Germany/Borussia Dortmund/FC Bayern Munich), Philipp Lahm (Germany/FC Bayern Munich), Marcelo (Brazil/Real Madrid), Javier Mascherano (Argentina/FC Barcelona), Pepe (Portugal/Real Madrid), Gerard Piqué (Spain/FC Barcelona), Sergio Ramos (Spain/Real Madrid), Thiago Silva (Brazil/Paris Saint-Germain) na Raphaël Varane (France/Real Madrid).

VIUNGO (15): Xabi Alonso (Spain/FC Bayern Munich), Sergio Busquets (Spain/FC Barcelona), Kevin De Bruyne (Belgium/Manchester City), Eden Hazard (Belgium/Chelsea), Andrés Iniesta (Spain/FC Barcelona), N’Golo Kanté (France/Leicester City/Chelsea) Toni Kroos (Germany/Real Madrid), Luka Modrić (Croatia/Real Madrid), Mesut Özil (Germany/Arsenal), Dimitri Payet (France/West Ham United), Paul Pogba (France/Juventus/Manchester United), Ivan Rakitić (Croatia/FC Barcelona), David Silva (Spain/Manchester City), Marco Verratti (Italy/Paris Saint-Germain) na Arturo Vidal (Chile/FC Bayern Munich).

MASTRAIKA (15): Sergio Agüero (Argentina/Manchester City), Gareth Bale (Wales/Real Madrid), Karim Benzema (France/Real Madrid), Cristiano Ronaldo (Portugal/Real Madrid), Paulo Dybala (Argentina/Juventus), Antoine Griezmann (France/Atlético Madrid), Gonzalo Higuaín (Argentina/Napoli/Juventus), Zlatan Ibrahimović (Sweden/Paris Saint-Germain/Manchester United), Robert Lewandowski (Poland/FC Bayern Munich), Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona), Thomas Müller (Germany/FC Bayern Munich), Neymar (Brazil/FC Barcelona), Alexis Sánchez (Chile/Arsenal), Luis Suárez (Uruguay/FC Barcelona) na Jamie Vardy (England/Leicester City).