Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, December 3, 2016

MZEE YUSUPH MZIMBA AFARIKI DUNIA



MWANACHAMA mkongwe na muasisi wa Yanga Asili, Mzee Mzimba amefariki dunia, imeelezwa.
Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana jijini Dar es Salaam na kuthibitisha na mtoto wake Ramadhani Kampira, Mzimba alifariki jana na mwili wake umehifadhiwa katika hospitali ya Mwananyamala jijini.
Hatahivyo, Kampira hakuwa tayari kuzungumza zaidi kuhusu kifo cha baba yake, ambapo alisisitiza kuwa taarifa zaidi atazitoa baadae.
Mzimba atakumbukwa kwa kuendesha harakati za kupiga vikali Yanga kubadilisha kiholela kuwa Kampuni, ambapo aliasisi kundi la Yanga Asili.
Mungu ailaze mahali pema roho ya marehemu Mzee Mzimba. Amina

No comments:

Post a Comment