Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, August 20, 2016

WIZKID KUTUMBUIZA MWANZA KWENYE TIGO FIESTA 2016 LEO.



Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza leo,wakati wa mkutano kabla ya tamasha la Fiesta, kulia ni Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja.
Na Krantz Mwantepele


Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja,akizungumza jijini Mwanza leo wakati wa mkutano wa Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid)(kushoto) na waandishi wa habari, kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Sebastian Maganga

Mwenyekiti wa Kamati ya Fiesta Sebastian Maganga, akizungumza jijini Mwanza leo, kushoto ni Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun(Wizkid) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Tigo kanda ya Ziwa Ali Maswanja.

Wasanii watakaotumbuiza katika tamasha la Tigo Fiesta 2016 jijini Mwanza wakiwa katika picha ya pamoja na Msanii wa Nigeria Ayodeji Balogun (Wizkid) mara baada ya mkutano na waandishi wa habari mapema leo jijini Mwanza.

No comments:

Post a Comment