Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, August 20, 2016

BENTEKE ATUA CRYSTAL PALACE KWA DAU LA £27m


Klabu ya Crystal Palace imethibitisha kumsajili mshambuliaji Christian Benteke kutoka Liverpool kwa ada ya pauni milioni 32 ambayo ni kubwa kuwahi kutokea kwa klabu hiyo kusajili. Benteke alikuwa jijini London tangu jana Ijumaa kwa ajili ya vipimo vya afya ambapo baada ya kukamilisha taratibu alitambulishwa rassmi. Usajili huo umekuja baada ya mchezaji huyo kutokuwa katika wakati mzuri kwa kushindwa kutamba Liverpool tangu alipotua akitokea Aston Villa. Akizungumzia juu ya usajii huo, Benteke ambaye ana umri wa miaka 25 alisema: “Nina furaha kutua Crystal Palace

No comments:

Post a Comment