Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, August 25, 2016

DROO YA MAKUNDI UEFA CHAMPIONS LIGI KUPANGWA KESHO

DROO ya kupanga Makundi ya UEFA CHAMPIONS LIGI itafanyika kesho Alhamisi Saa 1 Usiku huko Monaco.
Kwenye Droo hiyo zipo Timu 22 zinazoanzia hatua hiyo ya Makundi wakiwemo Mabingwa Watetezi Real Madrid zikijumuishwa na Timu nyingine 10 ambazo ni Washindi wa Raundi ya Mwisho ya Mchujo ambayo itakamilika Leo Jumanne na kesho Jumatano.
Vyungu Vinne vitakuwepo na kila Chungu kitatoa Timu moja kuunda Kundi moja la Timu 4 na kufanya Jumla ya Makundi yawe 8.

Tayari Timu zote za Chungu Namba 1 zishajulikana kwani ni zile zinazotoka kwenye Nchi za juu kwa Ubora kwenye Listi ya Ubora ya UEFA pamoja na Bingwa Mtetezi.
Kwenye Vyungu Vitatu vilivyobaki zipo Timu zimethibitika zipo Chungu kipi na baadhi zitategemea matokeo ya Mechi za Raundi ya Mwisho ya Mchujo.
PATA RIPOTI KUHUSU MGAO WA VYUNGU:
CHUNGU NAMBA 1

Real Madrid (ESP, holders), Barcelona (ESP), Leicester City (ENG), Bayern München (GER), Juventus (ITA), Benfica (POR), Paris Saint-Germain (FRA), CSKA Moskva (RUS)
VYUNGU VINGINE VITATU
**Vyungu vingine Vitatu vitajazwa na Timu kulingana na Timu iko wapi kwenye Listi ya Ubora ya UEFA.
-TIMU ZILIZOTHIBITISHWA NA VYUNGU VYAO:
CHUNGU 2
Atlético Madrid (ESP), Borussia Dortmund (GER), Arsenal (ENG), Sevilla (ESP), Napoli (ITA), Bayer Leverkusen (GER)
CHUNGU 3
Dynamo Kyiv (UKR), Lyon (FRA), PSV Eindhoven (NED), Sporting CP (POR)
CHUNGU 4
Beşiktaş (TUR)
-TIMU AMBAZO ZIPO MAKUNDI LAKINI ZITAJIJUA ZIPO CHUNGU KIPI BAADA YA MATOKEO YA MECHI ZA MARUDIANO ZA RAUNDI YA MWISHO YA MCHUZO ZINAZOCHEZWA LEO NA KESHO:
-CHUNGU 2 AU 3
Basel (SUI), Tottenham Hotspur (ENG)
**Basel watakuwa Chungu 2 ikiwa Manchester City au FC Porto zinatupwa nje Raundi ya Mwisho ya Mchujo.
** Spurs watakuwa Chungu 2 ikiwa wote City na Porto wanatupwa nje.
-CHUNGU 3 AU 4
Club Brugge (BEL)
-NAFASI NYINGINE 10 ZILIZOBAKI ZITAJULIKANA BAADA YA KUKAMILIKA RAUNDI YA MWISHO YA MCHUJO.
DROO- Kanuni zake:
-Timu toka Nchi moja hazitapangwa Kundi moja.
--Timu kutoka Russia na Ukraine hazitawekwa Kundi moja.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
Raundi ya Mwisho ya Mchujo
Mechi za Marudiano
** Mechi zote kuanza Saa 3 Dak 45 Usiku
**Kwenye Mabano Matokeo Mechi ya Kwanza

Jumanne 23 Agosti 2016
Hapoel Be'er Sheva v Celtic (2-5)
Legia Warsaw v Dundalk (2-0)
AS Monaco v Villarreal (2-1)
AS Roma v FC Porto (1-1)
Viktoria Plzen v Ludogorets Razgrad (0-2)
Jumatano 24 Agosti 2016
Apoel Nicosia v FC Copenhagen (0-1)
Borussia Monchengladbach v BSC Young Boys (3-1)
FC RB Salzburg v Dinamo Zagreb (1-1)
FC Rostov v Ajax (1-1)
Man City v Steaua Bucharest (5-0)
UCL 2016/17
-KUANZIA Hatua ya Makundi [Droo kufanyika Agosti 25]:
Chungu Na 1 (Mabingwa Watetezi na Timu 7 toka Nchi 7 za juu kwa Ubora Ulaya]
Real Madrid (ESP, Mabingwa)
Barcelona (ESP)
Leicester City (ENG)
Bayern München (GER)
Juventus (ITA)
Benfica (POR)
Paris Saint-Germain (FRA)
CSKA Moskva (RUS)
Vyungu Vingine
Atlético Madrid (ESP)
Borussia Dortmund (GER)
Arsenal (ENG)
Sevilla (ESP)
Napoli (ITA)
Bayer Leverkusen (GER)
Basel (SUI)
Tottenham Hotspur (ENG)
Dynamo Kyiv (UKR)
Lyon (FRA)
PSV Eindhoven (NED)
Sporting CP (POR)
Club Brugge (BEL)
Beşiktaş (TUR)