Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, June 3, 2016

IIKAY GUNDOGAN ASAJILIWA NA MANCHESTER CITY

Borussia Dortmund midfielder Ilkay Gundogan has finalised a £21m move to Manchester City

Klabu ya Manchester City imemsajili kiungo wa kati wa Ujerumani IIkay Gundogan kutoka kwa klabu ya Borussia Dortmund kwa mkataba wa miaka minne.Mchezaji huyo wa miaka 25 ambaye hatoshiriki katika michuano ya Euro 2016 pamoja na kuanza kwa Ligi ya Uingereza msimu huu kutokana na jeraha atakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na kocha mpya wa Klabu ya Man City ya Pep Guardiola.

Manchester City imeripoti kulipa kitita cha pauni milioni 20 kumpata Gundogan.
''Nilipogundua kwamba City walikuwa wakinihitaji,moyo wangu ulikubali'',alisema.''Mambo yamenda haraka sana''.
Mkurugnzi wa klabu hiyo ya Ligi ya Uingereza Txiki Begiristain alipongeza maadili ya Gundogan pamoja na uwezo wake