Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, March 22, 2016

KIIZA ANOGESHA KAMBI YA THE CRANE IKIIWINDA BURKINAFASOTimu ya taifa ya Uganda ‘Uganda Cranes’ inaendelea na mazoezi yake kuelekea mchezo wa kimataifa wa kusaka nafasi ya michuano ya mataifa ya Afrika dhidi ya Bukinafaso mchezo ambao utapigwa machi 26 2016 katika uwanja wa kumbukumbu ya vita vya pili vya dunia wa Nakivubo.
Timu hiyo imeweka kambi yake Sky Hotel, Naalya, chini ya kocha wake Milutin ‘Micho’.
Mshambuliaji wa Simba Hamisi Kiiza ni miongoni mwa wachezaji wanaunda kikosi cha wachezaji 22 na ambao wote tayari wameungana kwa maandalizi ya mchezo huo.
Kikosi kamili:James Alitho (GK), Salim Jamal Magoola (GK), Joseph Nsubuga, Bernard Muwanga, Joseph Ochaya, Erisa Sekisambu, Denis Okot, Edrisa Lubega, Denis Iguma, Godfrey Walusimbi ,Hassan Wasswa Mawanda, Khalid Aucho, Tonny Mawejje, Moses Oloya, Yassar Mugerwa, Geofrey Massa, Murshid Juuko, Hamis ‘Diego’ Kizza, Mike Serumaga, Isaac Muleme, Ceasar Okhuti na Timothy Awanyi

Hamisi Kiiza na wengine 21 wa ‘Uganda Cranes’ katika mawindo ya Bukinafaso

Timu ya taifa ya Uganda ‘Uganda Cranes’ inaendelea na mazoezi yake kuelekea mchezo wa kimataifa wa kusaka nafasi ya michuano ya mataifa ya Afrika dhidi ya Bukinafaso mchezo ambao utapigwa machi 26 2016 katika uwanja wa kumbukumbu ya vita vya pili vya dunia wa Nakivubo.

- See more at: http://www.rockersports.co.tz/hamisi-kiiza-na-wengine-21-wa-cranes-katika/#sthash.O9elGanB.dpuf