Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, March 22, 2016

KALUSHA BWALYA ASHINDWA URAIS WA FA ZAMBIA

Mfanyabiashara Andrew Kamanga amechaguliwa kuwa Rais wa chama cha soka nchini Zambia (FAZ) baada ya kumshinda nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya nchi hiyo ‘Chipolopolo’ Kalusha Bwalya baada ya kutwaa jumla ya kura 163 kati ya 324 zilizopigwa.
Tangazo la mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi huo Sikwana Lukangaba katika hoteli ya Moba usiku mwingi Jumamosi lilimtangaza Andrew Kamanga kama Rais mpya wa chombo hicho cha soka cha Zambia kwa kipindi cha miaka minne ijayo.
Bwalya mchezaji bora wa zamani Afrika alikuwa akionekana kuongoza wakati Andrew Kamanga akionekana kumkimbiza kwa karibu katika kampeni lakini matatizo ya kifedha ndani FAZ yamekuwa kikwazo kwa Bwalya kushinda uchaguzi.
Kura zilikuwa kama ifuatavyo
1. Andrew Kamanga – 163 (kachaguliwa)
2. Kalusha Bwalya – 156
3. Henschel Chitembeya – 1
4. Kura zilizoharibika – 4

- See more at: http://www.rockersports.co.tz/13666-2/#sthash.A3WJOKrS.dpuf

- See more at: http://www.rockersports.co.tz/13666-2/#sthash.BRTbq3H9.dpuf

- See more at: http://www.rockersports.co.tz/13666-2/#sthash.6qEqqGyj.dpuf

alusha Bwalya ashindwa Urais na mfanyabiashara

- See more at: http://www.rockersports.co.tz/13666-2/#sthash.7Ye3pB6i.dpuf

Kalusha Bwalya ashindwa Urais na mfanyabiashara

Mfanyabiashara Andrew Kamanga amechaguliwa kuwa Rais wa chama cha soka nchini Zambia (FAZ) baada ya kumshinda nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya nchi hiyo ‘Chipolopolo’ Kalusha Bwalya baada ya kutwaa jumla ya kura 163 kati ya 324 zilizopigwa.
Tangazo la mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi huo Sikwana Lukangaba katika hoteli ya Moba usiku mwingi Jumamosi lilimtangaza Andrew Kamanga kama Rais mpya wa chombo hicho cha soka cha Zambia kwa kipindi cha miaka minne ijayo.
Bwalya mchezaji bora wa zamani Afrika alikuwa akionekana kuongoza wakati Andrew Kamanga akionekana kumkimbiza kwa karibu katika kampeni lakini matatizo ya kifedha ndani FAZ yamekuwa kikwazo kwa Bwalya kushinda uchaguzi.
Kura zilikuwa kama ifuatavyo
1. Andrew Kamanga – 163 (kachaguliwa)
2. Kalusha Bwalya – 156
3. Henschel Chitembeya – 1
4. Kura zilizoharibika – 4
- See more at: http://www.rockersports.co.tz/13666-2/#sthash.6anTIke1.dpuf

No comments:

Post a Comment