
Sanchez akishangilia bao lake la kusawazisha


Kipa David Ospina akifungwa bao la pili
Alexis Sanchez anasawazishia bao Arsenal dakika ya 76 na kufanya 2-2
Harry
Kane dakika ya 62 aliipa bao la kuongoza Spurs kwa kufanya 2-, Kabla ya
hapo wa Mchezaji wa Tottenham Hotspur Toby Alderweireld dakika ya 60
aliisawazishia bao kwa kufanya 2-1. Dakika ya 55 kipindi cha pili
Francis Coquelin wa Arsenal alioneshwa kadi ya pili ya njano na
kuondoshwa kwa kadi nyekundu Uwanjani na Hapo Arsenal wakacheza pungufu
10 Uwanjani na mambo kuwaendea vibaya kuanzia hapo.


1-0
Aaron Ramsey dakika ya 39 anaifungia bao la kuongoza 1-0
VIKOSI:
Tottenham: Lloris; Walker, Alderweireld, Wimmer, Rose; Dembele, Dier; Lamela, Eriksen, Alli; Kane
Akiba: Vorm, Davies, Trippier, Carroll, Chadli, Mason, Son
Arsenal: Ospina; Bellerin, Mertesacker, Gabriel, Gibbs; Elneny, Coquelin; Ramsey, Ozil, Sanchez; Welbeck
Akiba: Macey, Chambers, Monreal, Flamini, Campbell, Walcott, Giroud
Msimamo ulivyo


No comments:
Post a Comment