Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, March 5, 2016

MANCHESTER CITY YAIFUNGA ASTON VILLA MABAO 4-0

BAO za Manchester City zimefungwa kipindi cha pili na
Yaya Touré 48' •
Sergio Agüero 50' •
Sergio Agüero 60' •
Raheem Sterling 66' •
 

Aston Villa hawakupata bao na sasa wako mkiani kwenye hatua mbaya ya kushuka daraja msimu huu.
Yaya Toure dakika ya 47 na dakika ya 50 Aguero akaifungia City bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Timu iliyoko mkiani Aston Villa