Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, February 18, 2016

SERIKALI YAAGIZA WIZARA YA MICHEZO NA BMT KUPITIA KATIBA ZA VYAMA VYA MICHEZO


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa michezo nchini kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17, 2016.

Baadhi ya wapenzi na viongozi wa michezo nchini wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza na wadau wa michezo nchini kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akipata maelezo kuhusu michoro ya viwanja vya ndani vinavyotarajiwa kujengwa pembeni mwa uwanja wa taifa jijini Dar es salaam kutoka wa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Nape Nnauye ( watatu kushoto) na katibu Mkuu wake Profesa Elisante Ole Gabriel (wapili kushoto) wakati alipozungumza na wadau wa michezo kwenye uwanja wa taifa Februari 17, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau wa michezo nchini baada ya kuzungumza ao kwenye uwanja wa taifa jijini dar es salaam Februari 17, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wadau wa michezo nchini baada ya kuzungumza nao kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es salaam Februari 17, 2016.

No comments:

Post a Comment