MMILIKI WA CHELSEA ANATAKA KUMSHAWISHI DROGBA AWE MSAIDIZI WA MENEJA WAKE GUUS HIDDINK?
Drogba
Akiwa na Meneja Hiddink pamoja na Mmiliki wa Klabu hiyo ya Chelsea
hivi karibuni ambapo Chelsea iliifunga Sunderland Bao 3-1.Kwa furaha wakiondoka Uwanjani watatu hao baada ya kupata Ushindi Darajani!
No comments:
Post a Comment