Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, December 1, 2015

KLOPP AFURAHIA LIVERPOOL KUPANDA NAFASI YA SITA

Jurgen Klopp amepata ushindi wake wa kwanza Uwanjani Anfield baada ya Timu yake Liverpool kuifunga Swansea Bao 1-0 kwa Bao la Penati ya James Milner ya Dakika ya 62.
Penati hiyo ilitolewa baada ya Neil Taylor kuunawa Mpira.
Ushindi huu umewapaisha Liverpool hadi Nafasi ya 6 na kuwatupa Swansea, ambao wameshinda Mechi 1 tu tangu Agosti, hadi Nafasi ya 15.
Steven Gerrard alikuwepo katika kipute hichoKikosi cha LiverpoolMtu KatiMameneja pande zote mbili wakitafuta pointiKloppKi Sung na Benteke Adam Lallana na MorenoJames Milner akishangilia bao lake la pekee katika mtanange huo