Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, October 29, 2015

SIMBA YAITUNGUA COASTAL UNION BAO 1-0


Said Ndemla akiwatoka wachezaji wa Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ambapo katika mchezoa huo Simba iliibuka na ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Hamis Kiiza. (Picha na Francis Dande)

Peter Mwalyanzi wa Simba akienda chini.

Timu zikiingia uwanjani.

Timu za Coastal union na Simba zikiingia uwanjani.

Kikosi cha Simba.

Benchi la ufundi la Simba.

Benchi la ufundi la Coastal Union

Kikosi cha Coastal Union.

Wachezaji wa Simba wakishangilia bao pekee lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo, Hamis Kiiza (katikati) dhidi ya Coastal Union ya Tanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Simba, Mwinyi Kazimoto, akimtoka mchezaji wa Coastal Union ya Tanga, Ibrahim Twaha katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment