Robin
van Persie atatambulishwa rasmi leo jumanne tayari kujiunga Fenerbahce
baada ya kufanyiwa vipimo jana jumatatu na mambo kwenda safi.

Van Persie akipimwa afya jana huko Istanbul

Van Persie anatagemewa kumwaga wino kwenye mkataba wa miaka 3 na atalipwa mpunga mrefu tu wa £240,000

Van Persie akitupia dole baada ya kuichezea Man United huko Old Trafford takribani miaka 3
No comments:
Post a Comment