Mabondia
Mwanne Haji na Lulu Kayage wakitunishiana misuli baada ya
kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Iddi Mosi
Katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam
Bondia Lulu Kayage akipimwa afya na Dakitari Michael Madadidi |
Promota Stamili Mtengwa (katikati) na mabondia Habibu Pengo (kushoto) na Yonas Segu |
Bondia Mwanne Haji akipimwa Afya |
No comments:
Post a Comment