Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, July 15, 2015

LIVERPOOL YAIFUNGA THAI ALL STARS MABAO 4-0, BANGKOK

Liverpool 4 vs 0 True Thai All StarsKikosi cha Liverpool kilichowafunga Thai All stars bao 4-0 leo kwenye mchezo wa kirafiki
Bao za Liverpool leo lizilifungwa na Lazar Markovic dakika ya 3, Mamadou Sakho dakika ya 42, Adam Lallana dakika ya 52 na lile la dakika ya 86 la Mbelgian Origi wameipa Ushindi mnono Timu ya Liverpool leo wakiongozwa na Meneja wao Brendan Rodgers kwenye Mtanange wa kirafiki wa kujiima kujiandaa na msimu mpya wa 2015/2016 leo hii mchana huko Bangkok. Liverpool walikuwa wakicheza na wenyeji wao Timu Kombaini ya huko Bangkok ya Thai All Stars ambao wametoka kapa.
Mapema Danny Ings alifunga bao lakini bao hilo lilikataliwa kwani lilionekana lina utata!Danny Ings na Kolo Toure wakishangilia baoLazar ndie aliyeanza kuliona lango la wenyeji wao Thai All StarsSakho  akipongezwa!Mamado  Sakho  akiomba baada ya kuifungia bao LiverpoolChupuchuu!Mashabiki kabla ya mechi kuanzaWenyeji lakini ni mashabiki wa LiverpoolMashabiki lukuki wakisonga Uwanjani tayari kuucheki mtanange huo wa kirafikiShabiki wa kweli!

No comments:

Post a Comment