Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, July 17, 2015

BANZA STONE AFARIKI DUNIA



 
Mwanamuziki wa muziki wa dansi aliyepata kushika chati za juu katika utunzi na uimbaji katika bendi mbalimbali  za muziki wa Dansi, Ramadhani Masanja 'Banza Stone' amefariki dunia hii leo mchana nyumbani kwao Sinza Kijiweni Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment