
Lakini hata huko Man United inadaiwa Chicharito hatakaa kwani Meneja Louis van Gaal anatarajiwa kumtumia kama chambo ili kuwanasa Mastaa anaowawinda yeye.
Inasemekana Van Gaal anaamini rekodi ya Chicharito ya kupiga Bao 5 katika Mechi zake 11 alizocheza mwisho na Real kutamfungulia Soko la kupata Timu haraka na yeye kupata upenyo kumnasa Mchezaji anaemtaka.


No comments:
Post a Comment