
Sepp Blatter mambo safi sasa!!
Sepp
Blatter ametetea vyema kiti chake cha Urais wa FIFA kwa mara ya 5 baada
ya kushinda Uchaguzi uliofanyika Leo huko Uswisi baada ya Mpinzani wake
kutoka Jordan kusalimu amri katika Raundi ya pili ya Kura.
Ushindi
huu wa Blatter umekuja baada ya kugubikwa na Kashfa ya Rushwa
iliyotokana na hatua ya Marekani kufungua Mashitaka kwa Maafisa wa FIFA
kwa tuhuma za rushwa Siku moja tu kabla Uchaguzi huo kufanyika.

Ingawa
katika Raundi ya Kwanza ya Kura si Blatter wala Mpinzani wake Prince
Ali bin Al Hussein alieshinda Theluthi mbili ya Kura ili kushinda
Uchaguzi huo wa Uraisi baada ya Blatter kupata Kura 133 na Prince Ali
kupata 73, kitu ambacho kingepeleka Kura kupigwa tena, Mjordan huyo
aliamua kubwaga manyanga na kukubali kushindwa.
Akipokea
ushindi wake kwa vifijo Ukumbini, Blatter alitamba: "Twende FIFA,
Twende FIFA!" Mapema hii Leo, akiongea kwenye Mkutano wa Kongresi ya
FIFA, Blatter alisema kama Uenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia za Miaka
ya 2018 na 2022 ungeenda kwa Nchi nyingine na si Russia na Qatar basi
kashfa hiyo ya Rushwa isingekuwepo.
Handshake: Blatter's (left) victory now raises the
threat of European nations boycotting future World Cups - a proposal put
forward by UEFA president Michel Platini (right) on Thursday

Disappointment:
Following the win, the Chairman of the England Football Association
Greg Dyke (right) said FIFA 'will not reform itself under Blatter'

Blatter beat Prince Ali bin al-Hussein by a margin of 133-73 in the first round of voting, forcing his withdrawalBlatter beat Prince Ali bin al-Hussein by a margin of 133-73 in the first round of voting, forcing his withdrawal
Defeat:
Prince Ali (right, with UEFA president Michel Platini) was eligible to
take part in a second round of voting but still withdrew

FA chairman Greg Dyke steps forward to cast his vote in Friday's presidential election in Zurich
No comments:
Post a Comment