Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, March 28, 2015

WAYNE ROONEY, WELBECK, STERLIN NA HARRY KANE WAICHAKAZA LITHUANIA KWA KUIFUNGA MABAO 4-0

Kipindi cha kwanza Dakika ya 7 anaipachikia bao la kwanza England. Dakika ya 45 Danny Welbeck aliwapa ba la pili England na kufanya 2-0 na kwenda Mapunziko England ikiongoza kwa bao hizo za Rooney na D. Welbeck. Kipindi cha pili dakika ya 58
Raheem Sterling aliwafungia England bao la tatu na kufanya 3-0 dhidi ya Lithuania.

Harry Kane aliyeingia kipindi cha pili dakika ya 71 kuchukua nafasi ya Kepteni Wayne Rooney aliwafungia bao ndani ya muda mchache kama dakika mbili baada ya kukanyaga nyasi za Uwanja huo,  Bao la kichwa  la nne dakika ya 73 tu na kufanya 4-0 na mtanange kumalizika dakika 90 kwa bao hizo nne.
VIKOSI:
England:
Hart, Clyne, Cahill, Jones, Baines, Henderson, Carrick, Delph, Sterling, Welbeck, Rooney.
Akiba: Butland, Smalling, Walcott, Jagielka, Milner, Townsend, Kane, Mason, Barkley, Gibbs, Walker, Green.

Lithuania: Arlauskis, Freidgeimas, Kijanskas, Mikuckis, Zaliukas, Andriuskevicius, Zulpa, Mikoliunas, Chvedukas, Cernych, Matulevicius.
Akiba: Zubas, Vicius, Vaitkunas, Sirgedas, Kazlauskas, Luksa, Beniusis, Slavickas, Panka, Stankevicius, Borovskij, Cerniauskas.
Refa: Pavel Kralovec

No comments:

Post a Comment