Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, March 19, 2015

LEONARDO JARDIM WA AS MONACO ALIPIZA KISASI KWA ARSENE WENGER

Kocha wa Monaco, Leonardo Jardim, amemjibu Wenger kwa madai yake kwamba Timu yake haikustahili kufuzu na amewavunjia heshima. Jardim, ambae sasa ameiongoza Monaco kufika Robo Fainali kwa mara ya kwanza tangu 2004, pia amekiri hawakupeana mikono na Wenger mwishoni mwa Mechi kwa vile Wenger alimpuuza katika Mechi ya kwanza huko Emirates na yeye kuamua kulipiza.

No comments:

Post a Comment