Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, March 2, 2015

JORDAN NA PHILLIPPE COUTINHO WAILAZA MAN CITY ANFIELD BAADA YA KUIFUNGIA LIVERPOOL MABAO 2 DHIDI YA BAO 1 LA MANCHESTER CITY


Bao 2 safi za Jordan Henderson na Phillippe Coutinho zimeendeleza uteja wa Manchester City Uwanja wa Anfield walipochapwa Bao 2-1 na Liverpool ambayo imepanda hadi Nafasi ya 5 na kuiacha City ikipata pigo kubwa kutetea Ubingwa wao.
City sasa wako Pointi 5 nyuma ya Vinara Chelsea ambao wana Mechi 1 mkononi.
Coutinho akishangilia bao lake.Kocha wa Liverpool nae Brendan yale yale furaha tupu...Makocha wakisalimiana mapema kabla ya mtanange kuanzaAguero akibanwa..Zabaleta akitoa neno kwa Mwamuzi MarkBao 1-0Wachezaji wa Liverpool wakishangilia mbele ya mashabiki wao kwenye Uwanja wa Anfield

No comments:

Post a Comment