Ligi
ya kuu ya Tanzania itaendelea tena leo kwa timu ya Azam FC
Ikiwakaribisha Mtibwa Sugar mchezo utakaopigwa katika dimba la Azam
Complex
Kikosi cha Azam kinahitaji ushindi katika mechi hiyo ili
kirejee kileleni mwa msimamo wa ligi kwa kufikisha pointi 25 sawa na
vinara wa sasa, Yanga SC.
Mtibwa Sugar itaingia Uwanjani ikisaka
ushindi wake wa kwanza baada ya kucheza mechi saba bila ushindi ikitoka
sare mara tano na kupoteza mechi mbili.
No comments:
Post a Comment