Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, November 16, 2014

RONALDO AWEKA REKODI MPYA

Cristiano Ronaldo slides to his knees after scoring the match winning goal in Portugal's 1-0 defeat of ArmeniaNYOTA Cristiano Ronaldo aliifungia Bao la pekee Nchi yake Portugal kwenye Mechi ya Kundi I la EURO 2016 na kuweka Rekodi ya kuwa Mfungaji Bora kwenye Mashindano ya Nchi za Ulaya, Mabingwa wa Dunia Germany walihaha kuupata ushindi wa Bao 4-0 dhidi ya Nchi mpya Ulaya, Gibraltar.The Real Madrid superstar wheels away after breaking yet another record in his illustrious career for club and country
Ronaldo, ambae ndie Nahodha wa Portugal, alifunga Bao hilo pekee dhidi ya Armenia katika Dakika ya 72 na kufikisha idadi yake ya Magoli ya Mashindano ya EURO kufikia 23 na kuwapita Jon Dahl Tomasson wa Denmark na Mchezaji wa Turkey Hakan Sukur waliokuwa na Bao 22 kila mmoja.
Portugal players celebrate Ronaldo's goal that takes them to second place behind Denmark in Group IRonaldo akipongezwa na wenzakePortugal fans cheers their team as the sides line-up ahead of the Euro 2016 qualifier at the Algarve stadium, FaroMashabiki wa Portugal wakiishangilia timu yaoThe Portuguese takes a typical stance as he stands over a free-kick searching for his record breaking goalFrii kiki akiitaka kuipiga Ronaldo.Manchester United's Portuguese winger Nani, currently on loan with Sporting Lisbon, vies for the ball with Armenia's Levon AyrapetyanNani nae alikuwepo kwenye mchezo huoRonaldo, wearing his new black CR7 branded boots, dribbles the ball past Varazdat Haroyan of Armenia

No comments:

Post a Comment