Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, November 16, 2014

MAN UNITED KWENYE VITA KUTAKA KUMNASA CHIPUKIZI WA BRAZIL DOUGLAS COUTINHO KWA £7.5m

Manchester United are interested in signing Brazilian striker Douglas Coutinho from Atletico ParanaenseTaarifa kutoka huko Brazil zimedai Manchester United inamsaka Chipukizi wa Klabu ya Atletico Paranaenese Douglas Coutinho.

Ukata wa Kifedha umeifanya Atletico Paranaenese iwe tayari kumuuza Staa wao huyo wa Miaka 20 na inasemekana Wawakilishi wa Douglas Coutinho Wiki ijayo watatua Ulaya kuanza mazungumzo.

Mbali ya Man United, pia inadaiwa Atletico Madrid na AS Monaco pia zinamfuatilia Coutinho

No comments:

Post a Comment