Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, November 8, 2014

MVUA YAAHIRISHA PAMBANO LA MTIBWA SUGAR NA KAGERA SUGAR, KUMALIZIWA KESHO

Kocha wa Timu ya Kagera Sugar Jackson Mayanja(kulia)
Manungu Turiani mpira umehairishwa kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha na uwanja kuwa na Matope kiasi cha mpira kutoendelea kutokana na Uwanja kujaa maji nakusababisha Alama kutoonekana
Mpira umeharishwa ukiwa umeshachezwa dakika 45 hivyo utachezwa dakika 45 zilizobaki kesho Asubuhi dakika 45. 


No comments:

Post a Comment