Kipindi cha pili dakika ya 67 Diego
Costa ndie aliyewapachikia bao Chelsea na kufanya 2-1 dhidi ya Wenyeji
Liverpool kwenye Uwanja wao Anfield.
Patashika kwenye Lango la Liverpool.
Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa sare ya bao 1-1
Kipindi
cha kwanza Liverpool wakiwa nyumbani Anfield ndio walianza kupata bao
kupitia kwa Emre Can baada ya kupata ushirikiano kutoka kwa Raheem
Sterling na kufanya 1-0 katika dakika ya 9 kipindi cha kwanza. Bao la
Chelsea lilifungwa na Gary Cahill na kusawazsha bao hilo kwa kufanya
1-1.
VIKOSI VINAVYOANZA:

Kipindi cha kwanza kilimalizika kwa sare ya bao 1-1

CHELSEA
Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta; Matic, Fabregas; Ramires, Oscar, Hazard; Diego Costa.
LIVERPOOL
Mignolet; Johnson, Skrtel, Lovren, Moreno; Gerrard, Can, Henderson; Coutinho, Balotelli, Sterling

No comments:
Post a Comment