Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, November 14, 2014

MESUT OZIL NJE KWA WIKI 7

Arsenal wamepata pigo baada kuibuka habari kuwa Kiungo wao kutoka Germany Mesut Ozil anahitaji Wiki 7 zaidi ili apone vizuri Goti lake.
Ozil aliumia mwanzoni mwa Oktoba wakati Arsenal inafungwa 2-0 na Chelsea na ilitegemewa atarejea Uwanjani mwishoni mwa Mwezi huu lakini hii Leo mwenyewe amethibitisha kuwa hataweza kucheza hadi Mwakani.
Hii Leo Ozil ametoboa: “Niko nje kwa Wiki 5 na ntakuwa nje kwa Wiki nyingine 7!”
The France striker (right) has returned early to training after suffering a serious ankle injury in August
Hali hii itampa kiwewe zaidi Meneja Arsene Wenger ambae pia anao Majeruhi wa muda mrefu Olivier Giroud na Mathieu Debuchy huku Sentahafu Laurent Koscielny akiungana nao baada kupata tatizo la Musuli.
Hata hivyo, habari njema kwa Arsenal ni kupona kwa kasi kwa Straika wao Olivier Giroud ambae alivunjika Mguu kwenye Mechi na Everton Mwezi Agosti.

Giroud alifanyiwa operesheni Agosti 27 lakini hivi sasa ameanza tena Mazoezi mepesi.
Mechi inayofuata kwa Arsenal ni Novemba 22 Uwanjani Emirates dhidi ya Manchester United.

No comments:

Post a Comment