Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, November 16, 2014

EURO 2016: ENGLAND YAIFUMGA SLOVENIA 3-1, ROONEY ACHEZA MECHI YA 100, AFUNGA BAO


Wayne Rooney akishangilia bao lake la mkwaju wa penati baada ya kusawazisha bao na kuweka 1-1 kwa bao walilokuwa wamejifunga wao wenyewe kupitia kwa Jordan Henderson usiku huu tarehe 15.11.2014 na Mtanange huo kumalizika kwa 3-1, England wameibuka Kidedea. 
Wayne Rooney Usiku huu Uwanjani Wembley amecheza Mechi yake ya 100 wa England na pia kuwanasua toka Goli 1 nyuma na kusawazisha walipocheza na Slovenia Mechi ya Kundi E na hatimae kushinda Bao 3-1.
England fans show their support of Wayne Rooney
Kabla ya Mechi kuanza, Rooney alikabidhiwa Kofia ya Dhahabu na Sir Bobby Charlton ikiwa ni Tuzo kwa kuichezea England Mechi 100.
England's Wayne Rooney before the game with sons Klay and Kai as he celebrates his 100th cap for EnglandMapema kabla ya mechi Wayne Rooney alitinga Uwanjani hapo na Wanae Klay na KaiEngland's Wayne Rooney before the game with son Kai as he is presented with his 100th cap for England by Sir Bobby CharltonAlipewa kofia ya DhahabuEngland's team shotKikosi cha England.Slovenia's Ales Mertelj celebrates scoring their first goal Wachezaji wa Slovenia wakipongezana baada ya kupata bao.England manager Roy Hodgson with assistant manager Ray Lewington and coach Gary NevilleViongozi wa England na wachezaji wa Akiba
Jordan Henderson alijifunga bao dakika ya 57' na kuwapa zawadi ya bao Slovenia ya bao 1-0 lakini baadae England walisawazisha kupitia kwa Wayne Rooney katika dakika ya  59 na kufanya 1-1 baada ya kwenda 0-0 kipindi cha kwanza.

Danny Welbeck aliwaongezea bao la pili England na kufanya 2-1 katika kipindi cha pili hiho hicho katika dakika ya 65.Danny Welbeck akifanya yake..
Danny Welbeck alifunga bao lake la pili tena na kufanya 3-1 katika dakika ya 72. Ushindi huu umeifanya England ipae kileleni ikiwa na Pointi 12 ikifuatiwa na Lithuania na Slovenia zenye Pointi 6 kila moja.Danny Welbeck baada ya kuziona nyavu za SloveniaDanny Welbeck of England scores the 3rd goal 3-1 Danny Welbeck akitupia..England's Danny Welbeck scoring the third goal Danny Welbeck akimchungulia kipa wa SloveniaDanny Welbeck akishangilia na wenzake bao.Roy Hodgson akiwa karibu na Kocha msaidizi wake Ray Lewington (kulia).Danny Welbeck scores to make it 2-1 and is congratulated by team-matesWachezaji wa England wakishangilia..England's Danny Welbeck celebrates scoring the third goal with Raheem Sterling Danny Welbeck akipongezwa na Sterling baada ya kuifungia Timu bao la tatu na kufanya 3-1 dhidi ya Slovenia.

No comments:

Post a Comment