Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, October 1, 2014

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: MANCHESTER CITY NA AS ROMA ZATOKA SARE YA 1-1

Totti alipoisawazishia bap Roma1-1

Manchester City wanapata penati na kufunga bao la kwanza ndani ya dakika 4 kupitia kwa Sergio Aguero. Roma nao walipachika bao la kusawazisha kupitia kwa Francesco Totti katika dakika ya 23 kipindi hicho hicho cha kwanza.Ashley Cole
Cole ni mechi yake ya kwanza kucheza England tangu aondoke Chelsea 

No comments:

Post a Comment