Luis Suarez akipiga picha na nahodha wake wa zamani Steven Gerrard (akionyesha jezi ya Barcelona ambayo ilikuwa ni zawadi kwa Gerard) katika uwanja wa mazoezi wa Melwood hii leo Jumatatu |
Mshambuliaji
huyo mwenye umri wa miaka 27 alielekea huko akiwa na zawadi ya jezi ya
Barcelona kwa Steven Gerrard ambapo alipiga picha akiwa na nahodha wake
huyo wa zamani wakiwa wameshikilia zawadi hiyo na kuitupia katika
ukurasa wake wa Instagram.
Kwaherini: Suarez akiwa wachezaji wenzake wa zamani Gerrard (kushoto), Glen Johnson (wa pili kulia) na Jon Flanagan
Tunafunga
dirisha: Suarez akiondoka katika viunga vya Melwood hii ikiwa ni siku
ya mwisho ya kufungwa kwa dirisha la usajili akiwa na sanamu la mtoto
katika kiti cha nyuma
No comments:
Post a Comment