Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, September 25, 2014

CAPITAL ONE CUP: MANCHESTER CITY YAIFUNGA SHEFFIELD WEDNESDAY MABAO 7-0, FRANK LAMPARD ANG'ARA

Kipindi cha pili dakika ya 47 Frank Lampard alifunga bao la kwanza na kufanya 1-0 dhidi ya  Sheffield Wednesday.
Bao la pili kwa City lilifungwa na Edin Dzeko katika dakika ya 53.
Bao la tatu lilifungwa dakika ya 54 na Jesús Navas na la nne kufungwa kwa mkwaju wa penati na Yaya Touré katika dakika ya 60 na kufanya bao kuwa 4-0 dhidi ya Sheffield Wednesday
.  Dzeko alifunga bao la tano dakika 77 na kufanya bao 5-0, Jose Pozos alifunga la sita dakika 88 wakati la mwisho la saba lilifungwa tena na Frank Lampard katika dakika ya majeruhi dakika ya 90.
Mtanange ukiendelea..kati ya Man City v Sheffield Wednesday.
Man City v Sheffield Wednesday

No comments:

Post a Comment