


Kipindi cha pili dakika ya 56 Southampton walisawazisha baada ya Dusan Tadic kutoa pasi safi ya kisigino ndani ya box na hatimaye mchezaji wa Southampton Nathaniel Clyne kuachia shuti kali lililozama kimiani na kusawazisha bao hilo kwa kufanya 1-1.



Mechi inayofuata kwa Liverpool kwenye Ligi ni huko Etihad hapo Jumatatu Agosti 25 watakapowavaa Mabingwa Manchester City ambao baadae leo watacheza Mechi yao ya kwanza ya Ligi Ugenini na Newcastle United.








Liverpool: Mignolet, Manquillo, Skrtel, Lovren, Johnson, Henderson, Gerrard, Lucas, Sterling, Coutinho, Sturridge.
Subs: Brad Jones, Toure, Lambert, Sakho, Can, Allen, Ibe.
Subs: Brad Jones, Toure, Lambert, Sakho, Can, Allen, Ibe.
Southampton: Forster, Clyne, Fonte, Yoshida, Bertrand, Wanyama, Schneiderlin, Tadic, Ward-Prowse, Steven Davis, Pelle.
Subs: Kelvin Davis, Long, Taider, Cork, Hooiveld, Isgrove, Stephens.
Subs: Kelvin Davis, Long, Taider, Cork, Hooiveld, Isgrove, Stephens.
Referee: Mark Clattenburg
Taswira ya Uwanja ndani kabla ya Mtanange

No comments:
Post a Comment