![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DD49500000578-25_634x414.jpg)
Shinji Kagawa, Darren Fletcher na Tom Cleverley, Wakipongezana baada ya kuifunga timu ya Inter Milan bao 5-3 usiku wa kuamkia leo.
Timu ya Manchester United iliendeleza Wimbi la Ushindi baada ya Kuifunga Timu ya Inter Milan kwa Mikwaju ya Penati 5-3. Ikiwa ni baada ya kutoshana nguvu katika dakika 90 za mchezo huo. Ushindi huu si United kuwa Kileleni tu kwenye kundi lake pia hawajapoteza mchezo hata mmoja. Kocha Mpya wa Man United pia aliendeleza mfumo Mpya wa 3-5-2 dhidi ya Inter.
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DD4F500000578-474_634x417.jpg)
Fletcher na kipa David De Gea wakifurahia ushindi wa Mikwaju ya penati
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DD71600000578-576_634x626.jpg)
Furaha kwa Louis van Gaal na msaidizi wake Ryan Giggs
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DD4F100000578-809_634x410.jpg)
Fletcher akikumbatiana na Michael Keane baada ya kushinda kwa Mikwaju ya penati usiku
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DD54900000578-645_634x414.jpg)
Marco Andreolli akipagawa baada ya kushindwa penati
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DB69300000578-428_634x400.jpg)
Ander Herrera akitupia..
VIKOSI:
Manchester United first half: Lindegaard, Smalling, Jones, Evans, Valencia, Fletcher, Herrera, Young, Mata, Rooney, Welbeck
Second half: De Gea; M Keane, Evans, Blackett; Young, Cleverley, Fletcher, Kagawa, Shaw; Zaha, Nani (Hernandez 77)
Substitutes not used: Lingard
Booked: Valencia
Inter Milan: Handanovic (Carrizo 63), Ranocchia, Vidic (Andreolli 72), Juan Jesus, D'Ambrosio, Jonathan, Kuzmanovic (Laxalt 63), Krhin (M'Vila 46), Dodo (Nagatomo 63), Botta (Taider 63), Icardi
Substitutes not used: Schelotto, Guarin, Obi, Mbaye, Silvestre, Puscas, Berni, Bonazzoli
Booked: Andreolli
Attendance: 61, 238
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DB6E300000578-393_634x518.jpg)
Ashley Young akipata mpira wa kichwa mbele ya Danilo D'Ambrosio
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DB74700000578-322_634x441.jpg)
Chris Smalling akichuana vikali na mchezaji wa Inter Milani Mauro Icardi
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DB68F00000578-255_634x413.jpg)
Mauro Icardi na Ander Herrera wote walipelekeshana chini
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DB4D200000578-417_634x467.jpg)
Juan Mata akijaribu kumtoka Juan Jesus wa Inter Milan
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DB49E00000578-572_634x686.jpg)
Ander Herrera akizuia mpira dhidi ya Mchezaji wa Inter Dodo
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201DB3A200000578-3_634x611.jpg)
Wayne Rooney akimtoka Mchezaji wa Inter milan Jonathan usiku huu wakati wa Mtanange wa Kirafiki
MIKWAJU YA PENATI ILIVYOPIGWA
Young (Man United) - SCORED 1-0
Guarin (Inter) - SCORED 1-1
Hernandez (Man United) - SCORED 2-1
M'Vila (Inter) - SCORED 2-2
Cleverley (Man United) - SCORED 3-2
Taider (Inter) - SCORED 3-3
kagawa (Man United) - SCORED 4-3
Andreolli (Inter) - MISSED 4-3
Fletcher (Man United) - SCORED 5-3
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2014/07/30/article-2710210-201D7F9A00000578-437_634x480.jpg)
No comments:
Post a Comment