Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, June 25, 2014

WORLD CUP: ITALY 0 vs URUGUAY 1, DIEGO GODIN AWATUNGUA MABINGWA WATETEZI ITALY! AWAPENYEZA HATUA INAYOFUATA 16 BORA!


Wachezaji wa Uruguay wakishangilia na mashabiki wao!
Kipindi cha pili dakika ya 59 Claudio Marchisio alipewa kadi nyekundu baada ya kufanya rafu mbaya kwa mchezaji wa Italy Bao la ushindi limefungwa na Diego Godín katika dakika ya 81 baada ya kupata pasi kutoka kwa G. Ramírez.

Italy sasa wametupwa nje ya Kombe la Dunia na Uruguay baada ya kufungwa Bao 1-0 huku wakucheza Mtu 10 kufuatia Kadi Nyekundu kwa Claudio Marchisio kwenye Dakika ya 60.
Mbali ya kufungwa na kupewa Kadi Nyekundu, hasira kubwa za Italy zipo kwa Refa Marco Rodriguez wa Mexico kwa kutoona Luis Suarez akimng’ata Meno Beki wa Italy Chiellini.
Diego Godin kwenye patashikaAlvaro Pereira akichuana na MatteoNicolaus Lodeiro akichuana vikali na Claudio wa ItalyMapema kipindi cha kwanza Mario Balloteli akiwatawanya wachezaji wa UruguayDemu wa Mario Balloteli akichukua kumbukumbu za pichaTaswira ya hali ya uwanja kipute kikiendelea..Mashabiki wa Uruguay wakishangilia timu yao.Shabiki wa Uruguay aliyebamba mashabiki wenzake na kuwa kivutio uwanjani hapo..Suarez akilalamika baada ya kufanyiwa rafuKaa pembeni!

No comments:

Post a Comment