FIFA KUWACHUNGUZA MASHABIKI HAWA WA UJERUMANI KWA VITENDO VYA UBAGUZI
Shirikisho la Soka Duniani FIFA linawachunguza mashabiki wa Ujerumani
waliopigwa picha wakiwa wamejipaka rangi nyeusi mwilini wakati wa mchezo
wa Kombe la Dunia baina ya Ujerumani na Ghana.
No comments:
Post a Comment