Bondia wa siku nyingi Rashid Matumla
kushoto akimnoa bondia Karama Nyilawila wakati wa mazoezi yake ya mwisho
kabla ya kumkabili Said Mbelwa Mei 24 katika ukumbi Friends Corner Manzese Dar es salaam
Bondia Said Mbelwa akipiga bag zito kwa ngumi nzito wakati akijiandaa na mpambano wake na Karama Nyilawila wa kugombania ubingwa
wa UBO Mei 24 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es salaam
Bondia wa siku nyingi Rashid Matumla kulia akimnoa
bondia Karama Nyilawila wakati wa mazoezi yake ya mwisho kabla ya
kumkabili Said Mbelwa Mei 24 katika ukumbi Friends Corner Manzese Dar es salaam
No comments:
Post a Comment