Wayne Rooney anatarajia kusaini mkataba mpya wa miaka mitano na nusu na klabu yake ya sasa Manchester United wiki hii ambao utaongeza mshahara wake hadi kufikia paundi 300,000 kwa wiki.Mshambuliaji huyo England mwenye 28 anataka kuongeza mkataba ambao utamuweka Old Trafford hadi June 2019, ambapo tayari makubaliano ya awali yamefikiwa kati yake na klabu.
No comments:
Post a Comment