USIKU
WA EUROPA LIGI Zilipigwa Mechi za kwanza za Raundi ya Mtoano ya Timu 32
na Klabu za England, Tottenham na Swansea, zilikuwa kibaruani.
Swansea, wakiwa kwao Liberty Stadium, walitoka 0-0 na Napoli ya Italy na Tottenham wakicheza huko Ukraine kwenye Mji wa Dnipropetrovsk ambao uko Maili 220 Kusini Mashariki ya Kiev, Mji Mkuu wa Nchi hiyo iliyokuwa na Machafuko, walipigwa Bao 1-0 na FC Dnipro kwa Bao la Dakika ya 82 alilofungwa Yevhen Konopljanka kwa Penati iliyotolewa baada ya Jan Vertonghen kumchezea rafu Matheus.Muda mchache ulichukuliwa na vikosi vyote viwili kuomba kabla ya mtanange kuanza

Andros Townsend wa Spurs akinyatiwa na Ondrej Mazuch Nacer Chadli wa Spurs akichuana vikali na Ondrej Mazuch Michael Dawson akipagawa na kukata tamaaHapa hupiti ndugu yanguAndros Townsend akitwaa mpira kwa makini
UEFA EUROPA LEAGUE.
Raundi ya Mtoano ya Timu 32
MATOKEO:
Alhamisi Februari 20
Anzhi Makhachkala 0 KRC Genk 0
Dynamo Kiev 0 Valencia 2
Esbjerg fB 1 Fiorentina 3
FC Chornomorets Odesa 0 Lyon 0
FC Dnipro 1 Tottenham 0
Juventus 2 Trabzonspor 0
PAOK Salonika 0 Benfica 1
Slovan Liberec 0 AZ Alkmaar 1
Ajax 0 FC Red Bull Salzburg 3
FC Porto 2 Eintracht Frankfurt 2
Lazio 0 Ludogorets Razgrad 1
Maccabi Tel Aviv 0 Basel 0
NK Maribor 2 Sevilla 2
Real Betis 1 Rubin Kazan 1
Swansea 0 Napoli 0
Viktoria Plzen 1 Shakhtar Donetsk 1
MARUDIANO NI WIKI IJAYO:
Alhamisi Februari 27
20:00 Rubin Kazan V Real Betis
21:00 Basel V Maccabi Tel Aviv
21:00 Eintracht Frankfurt V FC Porto
21:00 FC Red Bull Salzburg V Ajax
21:00 Ludogorets Razgrad V Lazio
21:00 Napoli V Swansea
21:00 Sevilla V NK Maribor
21:00 Shakhtar Donetsk V Viktoria Plzen
23:05 AZ Alkmaar V Slovan Liberec
23:05 Benfica V PAOK Salonika
23:05 Fiorentina V Esbjerg fB
23:05 KRC Genk V Anzhi Makhachkala
23:05 Lyon V FC Chornomorets Odesa
23:05 Tottenham V FC Dnipro
23:05 Trabzonspor V Juventus
23:05 Valencia CF V Dynamo Kiev
No comments:
Post a Comment