Bao za Tottenham zilifungwa na Sandro, Dakika ya 45 na FC Dnipro kusawazisha Dakika ya 47 kwa Bao la Zozulja lakini Adebayor akapiga Bao 2 katika Dakika za 65 na 69 na kuipa Tottenham ushindi.
FC Dnipro walipata pigo Dakika ya 63 baada Mchezaji wao Zozulja kupewa Kadi Nyekundu. Jermain Defoe nae alikuwepo kushuhudia kipute hicho!Patashika kuutafuta mpira..Chupuchupu Soldado afunge bao mapema..Dnipro wakifunga bao lakini baadae walipotea na kufungwa na kuondolewa nje ya michuano hiyo!Zozulya akitofautiana na Jan Vertonghen na hapa walipandishianaMajanga Uwanjani!! mbele ya Mwamuzi...Wazi wazi ...kweupe!!
Michael Dawson chini...Taswira Michael Dawson akiwa chini na wengine wakiwa wanakwaruzana katika fujo za hapa na pale!!!Onyo!! Mwamuzi na Kocha wa Muda wa Spurs wakinyoosheana kidole!! ....swala ni kufanya haki!
No comments:
Post a Comment