Lionel Messi na Gerard Pique muda mfupi baada ya kushuka kwenye uwanja wa ndege wa Manchester Carles Puyol na Cesc Fabregas
Twenzetu!Neymar Mapema!!! Nyota wa klabu ya Barcelona wakiwa katika ndege tayari kwa safari yao kuelekea nchini UIngereza kwa ajili ya mchezo dhidi ya Manchester City.
UEFA CHAMPIONS LEAGUE: JUMANNE CITY v BARCA, JUMATANO
RATIBA
Jumanne Februari 18
22:45 Manchester City v FC Barcelona
22:45 Bayer 04 Leverkusen v Paris Saint-Germain
Jumatano Februari 19
22:45 AC Milan v Atletico de Madrid
22:45 Arsenal FC v Bayern Munich
MAN CITY WAKIFANYA MAZOEZI, TAYARI KWA MCHEZO WAO NA BARCA KESHO
Wachezaji wa Manchester City wakifanya mazoezi kwenye uwanja wa Etihad leo kujiweka sawa kwa mchezo wao na Barcelona hapo kesho jumanne kwenye Uefa Champions League.Wachezaji wa City wakiendelea na zoezi..Naomuona Garcia, Negredo, Demichelis na KolarovKocha Manuel Pellegrini akiwapa mbinu za kuibana Barca hapo kesho! Baadae Pellegrini na Toure walikutana na waandishi wa habari kuzungumzia swala zima la mtanange wa kesho jumanne usiku.
VIKOSI VINATARAJIWA KUWA HIVI:
Manchester City: Hart, Pantilimon, Zabaleta, Richards, Kompany, Demichelis, Lescott, Boyata, Kolarov, Clichy, Nasri, Navas, Silva, Garcia, Toure, Fernandinho, Rodwell, Negredo, Dzeko, Jovetic.
FC Barcelona: Valdés, Pinto, Olazábal, Montoya, Piqué, Fàbregas, Puyol, Xavi, Pedro, Iniesta, Alexis, Messi, Neymar, Mascherano, Bartra, Sergio, Song, Jordi Alba, Tello, Afellay, Adriano, Dani Alves, Sergi Roberto.
Uwanjani leo hii, kufanya mazoezi
No comments:
Post a Comment