|
Haruna Moshi 'Boban' akiwa GYM |
|
Mazoezi ya viungo |
|
Juma Nyoso aliyekaa akiwa GYM |
|
Razakh Khalfani |
Baada
ya ushindi wa jana wa mabao 2-0 dhidi ya Oman Club ya Muscat Oman, hii
leo kikosi kizima cha Wagosi wa Kaya Coastal Union ya Tanga kimeendelea
na mazoezi makali kwa ajili ya mzunguko wa pili wa ligi kuu ya soka
Tanzania Bara.
Hii
leo kikosi hicho mbali ya kufanya mazoezi ya uwanjani na darasani
kiliendelea na mazoezi ya kujenga mwili kwa kutumia vifaa vya kisasa
vilivyoko katika uwanja wa soka Sultan Qaboos.
Kesho kikosi hicho kinatarajiwa kushuka tena dimbani kucheza mchezo mwingine dhidi ya wenyeji wao timu ya Fanja.
No comments:
Post a Comment