Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, January 7, 2014

LA LIGA: REAL MADRID 3 vs CELTA VIGO 0, BENZEMA NA RONALDO WAFANYA KWELI RONALDO AFUNGA MABAO MAWILI NA KUFIKISHA BAO 400

Ready for action: Cristiano Ronaldo starts as Real Madrid return to La Liga action against Celta Vigo
Cristiano Ronaldo akishangilia moja ya bao lake leo kwenye mchezo wao dhidi ya Celta Vigo kwenye La Liga
Leo usiku kwenye La Liga Benzema ameifungia timu yake bao katika dakika ya 67, Huku Cristiano Ronaldo akifunga bao mbili katika dakika za lala salama dakika ya 82 na 90. Ushindi huu wa Real Madrid umewafanya wawe na pointi 44 nyuma ya pointi 5 ya Vinara Barcelona waliofunga jana na huku Vinara hao wakiwa sawa kwa pointi na timu ya Atletico Madrid.
Milestone: Ronaldo acknowledges the crowd after scoring his 400th career goal
Ronaldo akishangilia bao lake mbele ya mashabiki walipoifunga Celta Vigo bao 3-0 huku Cristiano Ronaldo akifikisha bao la 400.
Goal hero: Cristiano Ronaldo celebrates after doubling Real Madrid's lead against Celta Vigo on Monday night
Cristiano Ronaldo akishangilia ao lake la tatu na katika dakika za lala salama.
Ahead: Karim Benzema wheels away to celebrate after scoring Madrid's first goal
Karim Benzema ndie alieanza kufunga bao la kwanza katika dakika ya 67.
VIKOSI:
Real Madrid: Diego Lopez, Pepe, Sergio Ramos, Ronaldo, Benzema, Marcelo, Xabi Alonso (Illarra 46), Carvajal, Modric, Di Maria (Bale 63), Isco (Jese 61)
Subs not used: Casillas, Arbeloa, Nacho, Morata.
Goal: Benzema, 67, Ronaldo, 82, 90.
Celta Vigo: Yoel, Hugo Mallo, Oubina, Alex Lopez (Krohn-Dehli 58), Charles, Rafinha, Orellana, Jonny, Cabral, Augusto (Nolito 68), David Costas
Subs not used: Sergio, Aurtenetxe, Vila, Madinda, Santi Mina.
Booked: Alex Lopez, Augusto



MSIMAMO ULIVYO BAADA YA LEO REAL KUIFUNGA CELTA VIGO.
2013/2014 Spanish Primera División Table

Overall
Home
Away

POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1 Barcelona 18 16 1 1 53 12
9 0 0 31 6
7 1 1 22 6
41 49
2 Atletico Madrid 18 16 1 1 47 11
9 0 0 33 6
7 1 1 14 5
36 49
3 Real Madrid 18 14 2 2 52 21
8 0 1 30 8
6 2 1 22 13
31 44
4 Athletic Bilbao 18 10 3 5 26 23
7 2 0 17 8
3 1 5 9 15
3 33
5 Real Sociedad 18 9 5 4 35 23
6 2 1 23 7
3 3 3 12 16
12 32
6 Sevilla FC 18 8 5 5 35 29
5 2 2 19 10
3 3 3 16 19
6 29

No comments:

Post a Comment