Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, January 18, 2014

ENGLISH PREMIER LEAGUE ARSENAL 2 vs FULHAM 0, SANTI CAZORLA AIBAKISHA GUNNERS KILELENI

Kipindi cha Kwanza Timu zote mbili hazikuweza kufungana hivyo kulazimika kwenda mapumziko zikiwa 0-0, Kipindi cha pili dakika ya 57 ndipo Arsenal walipoanza kufungua lango la Fulham, Bao la kwanza likifungwa na Santi Cazorla baada ya kupata pasi safi kutoka kwa Jack Wilshere na bao la pili likifungwa tena na huyo huyo Santi Cazorla katika dakika 62 kwa kupata krosi tena kutoka kwa Monreal na hatimaye akaachia shuti akiwa ndani ya box na kummaliza kipa wa Fulham. Mchezaji wa  Arsenal Santi Cazorla akishangilia bao lake huku akikimbizwa kupongezwa na  Olivier Giroud baada ya kuiwasha  Fulham leo jumamosi jioni kwenye mchezo wa Ligi kuu England. Mesut Ozil chupuchupu amfunge kipa wa Fulham Maarten Stekelenburg

No comments:

Post a Comment