Mbunifu
Mkongwe wa Mavazi nchini Mamaa wa Mitindo Asia Khamsin Idarous jana
alisheherekea siku yake ya kuzaliwa na ndugu, jamaa na marafiki katika
mnuso wa nguvu uliofanyika kwenye kiota cha Nyumbani Lounge jijini Dar
es Salaam. Zifuatazo ni picha mbalimbali za matukio katika mnuso huo wa
nguvu.(Picha na MOblog)
|
Mbunifu
Mkongwe wa Mavazi nchini Mamaa wa Mitindo Asia Khamsin Idarous,
akizungumza machache kabla ya kukata cake kwenye mnuso wake wa
kumbukumbu ya kuzaliwa iliyofanyika kwenye kiota cha Nyumbani Lounge.
Aunty
Asia Idarous akikata ji-cake lake la kutimiza miaka 54 ya kuzaliwa
kwake kwenye mnuso wa nguvu uliofanyika Nyumbani Lounge.
Kata Cake tule......asiyeimba hali...Happy Birthday dear Asia.....Happy Birthday to youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu... !!! We Love Aunty Long Live and Stay Blessed.....Mwaaaaah...!!!
Mkuu
wa kaya ya Nyumbani Lounge Captain Gardner G. Habash alipewa heshima ya
kuwa mtu wa kwanza kulishwa cake na Birthday Girl Bi. Asia Khamsin
Idarous.
Mama mwenye nyumba Lady Jay Dee akishow love na Aunty Asia Khamsin Idarous.
Picha juu na chini ni ndugu, jamaa na marafiki wa Aunty Asia Idarous wakilishwa cake.
Paul
Mashauri alikuwa miongoni mwa wadau waliojumuika na Mkongwe wa ubunifu
wa mavazi Aunty Asia Khamsin Idarous kusheherekea siku yake ya kuzaliwa.
Mbunifu wa Mavazi Martin Kadinda a.k.a Mzee wa Single Button naye alikuwepo.
Aunty Asia Khamsin Idarous akiserebuka na wadau ndani ya kiota cha Nyumbani Lounge.
Old is Gold na mimi nimo....Hapana chezea Mamaa wa mitindo.
Mbunifu wa Mavazi Mustafa Hassanali na wadau wengine wakipata Ukodak na Aunty Asia Khamsin Idarous.
Aunty Asia Idarous na Ukodak.
Aunty Asia Idarous akishow love na binti yake ndani ya nyumbani Lounge.
Thank you for coming......love you all....!!
No comments:
Post a Comment