Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, November 2, 2013

MANCHESTER UNITED YAIFUNGA FULHAM 3-1 KATIKA ENGLISH PREMIER LEAGUE

Manchester United wanapata bao dakika ya 9 baada ya Van Persie kutoa pasi safi kwa Wayne Rooney na Rooney kumsogezea Antonio Valencia na kufunga bao. Dakika ya 20 Robin Van Persie anaipatia bao jingine United huku Wayne Rooney akifunga la tatu katika kipindi hicho hicho cha kwanza dakika ya 22.
Valencia, Van Persie na Januzaj wakifurahia kipindi cha kwanza.

No comments:

Post a Comment