Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, November 2, 2013

AZAM YASHIKA USUKANI WA LIGI KUU BAADA YA KUIFUNGA RUVU SHOOTING

ZAMA FC YAKAMATA USUKANI WA LIGI KUU TANZANI
Mshambuliaji wa Ruvu Shooting ,Juma Hamisi (kushoto) akiwania mpira na Winga wa Azam Fc,Khamis Mcha, katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Chamazi jijini  Dar es Salaam. Azam imeshinda 3-0. 
Wachezaji wa timu ya Azam Fc  wakishangilia bao la pili  lililofungwa na Joseph Kimwaga  dhidi ya Ruvu Shooting katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara.
Mshambuliaji wa Ruvu Shooting ,Juma Hamisi (kushoto) akiwania mpira na Winga wa Azam Fc,Khamis Mcha, katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment