Manchester
wakicheza kwenye uwanja wao Old Trafford wao ndio walianza kufungwa
bao dakika ya nne baada ya mabeki kufanya makosa baada ya kipa kuutemea
mpira kwao na hatimaye Peter Crouch kuutokomeza mpira nyavuni katika
dakika ya nne. Van
persie akasawazisha bao hilo dakika ya 43, frii kiki iliyotengwa
ikawamaliza tena United dakika ya 45 mchezaji Marko Arnautovic kwa
kunyoosha mpira huo hadi langoni na kumshinda kipa wa United David De
Gea na kufanya mpira kwenda mapumziko Stoke City wakiwa wanaongoza bao
2-1 dhidi ya wenyeji Stoke inayoongozwa na Mark Hughes mchezaji wa
zamani wa United. Kipindi cha pili Rooney akaisawazishia bao United na
Chicharito aliyeingia kipindi cha pili akaipa bao la tatu na kufanya 3-2
dhidi ya Stoke City.
Wachezaji wa Stoke wakishangilia baada ya Peter Crouch'skuwapatia bao la mapema dakika ya nne Old Trafford
Peter Crouch akishangilia baada ya kuiua United dakika ya nne
Robin van Persie akipandishiana na mchezaji wa Stoke City... Robin van Persie akishangilia nee baada ya kuisawazishia bao dakika ya 43.
Majanga!! Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Fergusonakijionea mwenyewe Old Trafford mambo yanavyokuwa!!
Mchezaji wa Manchester United Robin Van Persie akitofautiana na Jonathan Walters wakati wa mapumziko.
VIKOSI:
MANCHESTER UNITED: De Gea 6; Smalling 5 (Valencia 76, 6), Jones 5, Evans 5, Evra 7; Carrick 7, Cleverley 5 (Hernandez 68, 7); Nani 6 (Januzaj 58, 6), Rooney 8, Kagawa 6; Van Persie 7.
Subs: Rafael, Lindegaard, Young, Fellaini.
Scorers: Van Persie 43, Rooney 78, Hernandez 80
Booked: Hernandez, Valencia
STOKE CITY: Begovic 6; Cameron 5, Shawcross 7, Huth 7, Pieters 7; Nzonzi 6, Palacios 5 (Whelan 70, 6); Walters 6, Ireland 6 (Adam 82), Arnautovic 7 (Wilson 49, 6); Crouch 6. Subs: Jones, Assaidi, Wilkinson, Sorenson.
Scorers: Crouch 4, Arnautovic 45
Booked: Shawcross, Crouch, Ireland, Palacios, Wilson, Huth
Referee: Lee Mason 7
Man of the match: Wayne Rooney
Wachezaji wa Stoke wakishangilia baada ya Peter Crouch'skuwapatia bao la mapema dakika ya nne Old Trafford
Peter Crouch akishangilia baada ya kuiua United dakika ya nne
Kushangilia ni muhimu !!
Majanga!! Kocha wa zamani wa Manchester United Sir Alex Fergusonakijionea mwenyewe Old Trafford mambo yanavyokuwa!!
Mchezaji wa Manchester United Robin Van Persie akitofautiana na Jonathan Walters wakati wa mapumziko.
Wayne Rooney akisawazisha hapa kwa kichwa safiii
MANCHESTER UNITED: De Gea 6; Smalling 5 (Valencia 76, 6), Jones 5, Evans 5, Evra 7; Carrick 7, Cleverley 5 (Hernandez 68, 7); Nani 6 (Januzaj 58, 6), Rooney 8, Kagawa 6; Van Persie 7.
Subs: Rafael, Lindegaard, Young, Fellaini.
Scorers: Van Persie 43, Rooney 78, Hernandez 80
Booked: Hernandez, Valencia
STOKE CITY: Begovic 6; Cameron 5, Shawcross 7, Huth 7, Pieters 7; Nzonzi 6, Palacios 5 (Whelan 70, 6); Walters 6, Ireland 6 (Adam 82), Arnautovic 7 (Wilson 49, 6); Crouch 6. Subs: Jones, Assaidi, Wilkinson, Sorenson.
Scorers: Crouch 4, Arnautovic 45
Booked: Shawcross, Crouch, Ireland, Palacios, Wilson, Huth
Referee: Lee Mason 7
Man of the match: Wayne Rooney
No comments:
Post a Comment